Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)

TFRA Logo
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
A: Washiriki wanaokubalika ni pamoja na: - Wakulima - Wafanyabiashara wa mbolea - Vyama vya ushirika - Wafanyakazi wa maduka/maghala ya mbolea - Watafiti na taasisi za elimu
A: Mafunzo haya yanahusu usimamizi na udhibiti wa mbolea katika mnyororo mzima wa thamani.
A: Leseni hudumu kwa miaka mitatu (3) kabla ya kuhuishwa.
A: Inachukua takribani wiki moja (1).
A: Hapana, kuomba leseni ni bure.
A: Nyaraka zinazohitajika ni pamoja na: - Cheti cha Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN Certificate) - Cheti cha usajili wa kampuni au jina la biashara - Cheti cha taaluma ya kilimo au ushiriki kwenye mafunzo ya mbolea
A: Fuata hatua hizi: 1. Fungua https://fis.tfra.go.tz/ 2. Jisajili ili upate fomu ya maombi 3. Jaza fomu kwa usahihi na ambatanisha nyaraka zinazohitajika 4. Tuma maombi kwa njia ya mtandao
A: Ili kupata leseni unatakiwa kuwa na: - Cheti cha Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN Certificate) - Cheti cha usajili wa kampuni au jina la biashara - Nakala ya cheti cha taaluma ya kilimo au mafunzo ya mbolea - Jisajili kupitia mfumo wa Fertilizer Information System (FIS): https://fis.tfr...