Q: Nifanye nini ili kupata leseni ya kuuza mbolea?
A: Ili kupata leseni unatakiwa kuwa na:
- Cheti cha Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN Certificate)
- Cheti cha usajili wa kampuni au jina la biashara
- Nakala ya cheti cha taaluma ya kilimo au mafunzo ya mbolea
- Jisajili kupitia mfumo wa Fertilizer Information System (FIS): https://fis.tfra.go.tz/
