Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)

TFRA Logo
Dira, Dhamira, Kaulimbiu na Maadili ya msingi

Dira ya Mamlaka

Kuwa mdhibiti kinara  katika kulinda ubora wa mbolea na kuhakikisha uzalishaji endelevu wa kilimo.

Dhima ya Mamlaka

Kukuza matumizi salama, yenye ufanisi na endelevu kwa mazingira ya mbolea kupitia udhibiti, kujenga uwezo, utafiti, ubunifu na ushirikiano na wadau.

Kaulimbiu ya Mamlaka
Mbolea bora kwa wakulima wote.

Maadili ya Msingi

Uadilifu, Utaalamu, Kuzingatia Wadau, Mshikamano wa Kazi, na Kutojihusisha na Rushwa.