Tanzania emblem

Tanzania Fertilizer Regulatory Authority

Announcements

Title : MWONGOZO WA RUZUKU YA MBOLEA MWAKA 2022-2023

Katika msimu wa 2022/2023, Serikali imepanga kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima kwa lengo la kupunguza gharama ya mbolea kwa mkulima ili kuongeza uzalishaji na tija katika kilimo, kuimarisha usalama wa chakula na kuongeza upatikanaji wa malighafi za viwanda vya ndani...

Title : Taarifa kwa Umma: Orodha ya Kwanza ya Mawakala Waliosajiliwa Kusambaza Mbolea ya Ruzuku kwa Mwaka 20...

Katika mwaka wa fedha 2022/2023, Serikali inatarajia kutoa ruzuku ya mbolea kwa lengo la kuwawezesha wakulima nchini kununua mbolea kwa bei himilivu. TFRA ikiwa mdhibiti wa mbolea inawasilisha awamu ya kwanza ya orodha ya mawakala ambao wat...

Title : SUBMISSION OF IMPORTATION REQUIREMENTS FOR THE BULK PROCUREMENT OF DAP AND UREA UNDER FERTILIZER SUB...

PUBLIC NOTICE

SUBMISSION OF IMPORTATION REQUIREMENTS FOR THE BULK PROCUREMENT OF DAP AND UREA UNDER FERTILIZER SUBSIDY PROGRAM FOR THE PERIOD OF JULY, 2022 TO JUNE, 2023

In the 2022/202...