Sera ya Faragha
Mamlaka inachukulia faragha ya wateja wake na wanaotembelea tovuti yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotemjbelea tovuti yetu au kuwasiliana na wafanyakazi wetu. Taarifa binafsi inayokusanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania itatumiwa na Taasisi yetu tu.