Q: Nawezaje kuomba leseni ya kuuza mbolea?
A: Fuata hatua hizi:
1. Fungua https://fis.tfra.go.tz/
2. Jisajili ili upate fomu ya maombi
3. Jaza fomu kwa usahihi na ambatanisha nyaraka zinazohitajika
4. Tuma maombi kwa njia ya mtandao
