Q: Ni nyaraka gani zinahitajika kuomba leseni?
A: Nyaraka zinazohitajika ni pamoja na:
- Cheti cha Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN Certificate)
- Cheti cha usajili wa kampuni au jina la biashara
- Cheti cha taaluma ya kilimo au ushiriki kwenye mafunzo ya mbolea
