Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)

TFRA Logo
TFRA Yatambuliwa kwa Mchango wake katika Maonyesho ya 10 ya Kilimo Afrika
04 Sep, 2026
TFRA Yatambuliwa kwa Mchango wake katika Maonyesho ya 10 ya Kilimo Afrika

Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakiwa katika picha muda mfupi baada ya kupokea tuzo ya kutambua mchango wa Mamlaka katika kufanikisha Maonesho ya kumi ya Kilimo Afrika yaliyofanyika kwa siku mbili tarehe 2 na 3 Septemba, 2026 maonesho haya yameratibiwa na TAB Group ya nchini Dubai. Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua ushirikiano na mchango wa TFRA katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya kilimo nchini