Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)

TFRA Logo
Q: Gharama za kupima sampuli za mbolea ni zipi?

 

Kipimo Gharama (Tsh)
Kiwango cha Nitrojeni (N-NO3, N-NH4)

110,000

Kiwango cha Foriforasi

110,000

Kiwango cha virutubisho (Na, K, Ca & Mg)

110,000

Kiwango cha mboji

110,000

Kiwango cha uchachu na chumvichumvi

550,000

Biofertilizer & Organic acids

180,000

Madini tembo

750,000