Ni nyaraka gani mkulima anatakiwa kuwa nazo wakati wa usajili?
Nyaraka zinazotakiwa wakati wa usajili ni
1. Kitambulisho cha Taifa au Kitambulisho cha mpiga kura
2. Simu ya mkononi kwa ajili ya kupokea ujumbe wa uthibitisho (SMS) unaoonyesha namba ya mkulima.
3. Taarifa za shamba kama eneo la shamba, aina ya zao analolima na mahali lilipo shamba.
4. Taarifa za kikundi ikiwa mkulima ni mwanakikundi ( Jina la kikundi na Cheti cha usajili
