Je mbolea za ruzuku inapatikana wapi?
Mbolea za ruzuku zinapatikana nchi nzima kupitia kwa mawakala (Agrodealers) wa mbolea.
