Je kuna vigezo gani ili kupata ruzuku ya mbolea?
Ili kupata ruzuku ya mbolea mkulima lazima awe amejisajili rasmi kwenye mpango wa ruzuku ya mbolea unaosimamiwa na Wizara ya Kilimo kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) na kupata namba ya mkulima.
