Serikali inaendelea na zoezi la upimaji wa afya ya udongo nchi nzima ili kubaini mahitaji halisi ya virutubisho kwenye mashamba.
02 Mar, 2026
Afisa Kilimo kutoka Wizara ya Kilimo, Alphonce Mwiru, akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Kibedya, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, tarehe 17 Februari, 2026, ambapo amesema Serikali inaendelea na zoezi la upimaji wa afya ya udongo nchi nzima ili kubaini mahitaji halisi ya virutubisho kwenye mashamba.
