Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)

TFRA Logo
MCHEZAJI WA POOL TABLE WA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA TANZANIA (TFRA)
28 Nov, 2025
MCHEZAJI WA POOL TABLE  WA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA TANZANIA (TFRA)

Mchezaji kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Frank Kapama, akicheza mchezo wa ndani wa pool table dhidi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (NSSF), katika viwanja vya Bwalo, Morogoro, tarehe 27 Novemba 2025.