TFRA yatoa elimu juu ya umuhimu wa upimaji wa Afya ya Udongo
02 Mar, 2026
Afisa Udhibiti Ubora kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), John Wambura, akizungumza na wakulima katika Kijiji cha Rubeho, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, tarehe 17 Februari, 2026, ambapo alisisitiza kuwa mafanikio ya matumizi ya pembejeo yanategemea upimaji wa afya ya udongo na kuwahimiza wakulima kupima mashamba yao kabla ya kutumia mbolea.
