Wakulima wasio na simu janja wanaweza kuhuisha taarifa?
Ndio wakulima wasio na simu janja wanaweza kuhuisha taarifa zao kupitia Afisa Ugani aliyepo karibu ili awasaidie kuhuisha taarifa zao kwenye mfumo kwa kutumia kishikwambi.
