Utaratibu wa kuhuisha taarifa kwenye mfumo wa ruzuku ni upi?
Mkulima anatakiwa awe na nambe yake ya mkulima na taarifa zake za awali za shamba kama eneo la shamba, aina ya zao analolima na mahali lilipo shamba.
