Mkulima anajisajili wapi ili kupata ruzuku ya mbolea?
Mkulima anaweza kujisajili kwenye mpango wa ruzuku ya mbolea kupitia Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Afisa ugani wa Kijiji au kata.
