Je nitatambuaje kama hii mbolea ni ya ruzuku?
Mkulima atatambua kuwa mbolea ni ya ruzuku kwa kuangalia maneno “MBOLEA YA RUZUKU” yalioandikwa kwenye mfuko wa mbolea.
