Je mkulima anawezaje kuthibitisha kuwa taarifa zake zimesajiliwa kikamilifu?
Mkulima anaweza kuthibitisha kuwa taarifa zake zimesajiliwa kikamilifu kwa kupokea ujumbe wa uthibitisho (SMS) baada ya kukamilisha usajili au kuhuisha taarifa.
