Je mbolea zilizopo kwenye mpango wa ruzuku ya mbolea ni zipi?
Mbolea zote za kupandia na kukuzia zipo kwenye mpango wa ruzuku ya mbolea.
