WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA TANZANIA (TFRA) WAKISHEHEREKEA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.
01 May, 2024
09:00AM-13:00PM
DAR ES SALAAM
PR
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Makao Makuu na ofisi za kanda, wakiwa katika picha za matukio mbalimbali ikiwa ni Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyoadhimishwa katika Viwanja vya Aman Abeid Karume Jijini Arusha kitaifa. Maadhimisho hayo yamechagizwa na kauli mbiu isemayo “ Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha ‘