MAFUNZO YA BIASHARA YA MBOLEA –MKOA WA MBEYA, UKUMBI WA MZUMBE, TAREHE 1 NA 2 OKTOBA 2026: IMEANDAA
01 Oct, 2026
MAFUNZO YA BIASHARA YA MBOLEA – MBEYA MJINI
Ofisi ya TFRA Mbeya inawatangazia na kuwakaribisha wadau wote kushiriki katika Mafunzo ya Biashara ya Mbolea yatakayofanyika:
📍 Mahali: Ukumbi wa chuo kikuu cha Mzumbe, Mbeya Mjini
📅 Tarehe: 1 na 2 oktoba 2026
🕑 Muda: Saa 2:00 Asubuhi
Mafunzo haya yanawalenga:
-
Wanaotaka kuanzisha biashara ya mbolea
-
Wafanyabiashara wa mbolea
-
Vyama vya Ushirika
-
Wafanyakazi wa maduka ya mbolea
-
Wafanyakazi wa maghala ya mbolea
Tunawakaribisha wote kujifunza kuhusu taratibu, kanuni na mahitaji muhimu ya kuanzisha na kuendesha biashara ya mbolea kwa usahihi.
OFISI YA TFRA MBEYA
Karibu ujifunze, uelewe na uanzishe biashara sahihi ya mbolea!
