Kutoa ushauri katika masuala mbalimbali yanayo husu mbolea na visaidizi vya mbolea

TFRA itatoa ushauri wa kitaalamu kwa Serikali na taasisi zingine katika masuala yote yanayohusiana na usimamizi na udhibiti wa mbolea na visaidizi vya mbolea