MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Kanda ya mashariki imeratibu na kutoa mafunzo ya siku mbili Jijini Dar es salaam
29 Apr, 2024
09:00AM-18:00PM
DAR ES SALAAM
PR
MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Kanda ya mashariki imeratibu na kutoa mafunzo ya siku mbili Jijini Dar es salaam kwa wafanya biashara wa mbolea na wadau 93 wa tasnia ya mbolea nchini.
Mafunzo hayo yalilenga na kutoa elimu sahihi ya matumizi ya mbolea, namna ya kujisajili katika kupitia mfumo wa Fertilizer Information System (fis) kuwakumbusha wafanyabiashara kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu zinazosimamia tasnia ya mbolea.
Aidha, walikumbushwa kuhusu suala la kujisajili na kuhamasisha wakulima kujisalili kwenye mfumo wa mbolea za ruzuku kwa Mwaka 2023/ 2024 unaofanyika kidigitali