Tanzania emblem

Tanzania Fertilizer Regulatory Authority

Announcements

Taarifa kwa Umma: Orodha ya Kwanza ya Mawakala Waliosajiliwa Kusambaza Mbolea ya Ruzuku kwa Mwaka 2022/23


Katika mwaka wa fedha 2022/2023, Serikali inatarajia kutoa ruzuku ya mbolea kwa lengo la kuwawezesha wakulima nchini kununua mbolea kwa bei himilivu. TFRA ikiwa mdhibiti wa mbolea inawasilisha awamu ya kwanza ya orodha ya mawakala ambao watauza na kusambaza mbolea za ruzuku kwa wakulima hapa nchini.

tangazo kuwasilisha orodha ya mawakala waliosajiliwa kuuza na kusambaza mbolea za ruzuku