WACHEZAJI WA TIMU YA MPIRA WA WAVU YA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA TANZANIA (TFRA)
28 Nov, 2025
Wachezaji wa timu ya mpira wa wavu ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo dhidi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika Mashindano ya SHIMMUTA yanayoendelea Katika viwanja vya Bwalo mkoani Morogoro tarehe 27 Novemba,2025.
