Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
A: Majibu hutolewa ndani ya siku kumi (10) za kazi.
Kipimo Gharama (Tsh)
Kiwango cha Nitrojeni (N-NO3, N-NH4) 110,000
Kiwango cha Foriforasi 110,000
Kiwango cha virutubisho (Na, K, Ca & Mg) 110,000
Kiwango cha mboji 110,000
Kiwango cha uchachu na chumvichumvi 550,000
Biofertilizer na Organic acids 180,000
Madini tembo 750,000
A: Wanaoweza kupeleka sampuli ni:
- Waingizaji wa mbolea
- Wafanyabiashara wa mbolea
- Taasisi za utafiti na elimu
- Wakulima na watu binafsi
- Wazalishaji wa ndani
- TFRA kwa ajili ya ufuatiliaji na udhibiti
A: Maabara ya Taifa ya Mbolea inapima viwango vya virutubisho vilivyomo kwenye sampuli za mbolea, visaidi vyake pamoja na afya ya udongo ili kuhakikisha ubora na ufanisi wake.
A: Ndiyo, yanatolewa bure na TFRA.
A: Washiriki wanaokubalika ni pamoja na:
- Wakulima
- Wafanyabiashara wa mbolea
- Vyama vya ushirika
- Wafanyakazi wa maduka/maghala ya mbolea
- Watafiti na taasisi za elimu
A: Mafunzo haya yanahusu usimamizi na udhibiti wa mbolea katika mnyororo mzima wa thamani.
A: Leseni hudumu kwa miaka mitatu (3) kabla ya kuhuishwa.
A: Inachukua takribani wiki moja (1).
A: Hapana, kuomba leseni ni bure.