WACHEZAJI WA TIMU YA MPIRA WA PETE YA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA TANZANIA (TFRA)
28 Nov, 2025
Wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo dhidi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), katika Mashindano ya SHIMMUTA yanayoendelea katika viwanja vya Magadu mkoani Morogoro tarehe 27 Novemba,2025.
