Q: Nani anaweza kushiriki kwenye mafunzo haya?
A: Washiriki wanaokubalika ni pamoja na:
- Wakulima
- Wafanyabiashara wa mbolea
- Vyama vya ushirika
- Wafanyakazi wa maduka/maghala ya mbolea
- Watafiti na taasisi za elimu