Q: Nani anaweza kupeleka sampuli za mbolea kupimwa?
A: Wanaoweza kupeleka sampuli ni:
- Waingizaji wa mbolea
- Wafanyabiashara wa mbolea
- Taasisi za utafiti na elimu
- Wakulima na watu binafsi
- Wazalishaji wa ndani
- TFRA kwa ajili ya ufuatiliaji na udhibiti