Q: Maabara ya TFRA inafanya kazi gani?
A: Maabara ya Taifa ya Mbolea inapima viwango vya virutubisho vilivyomo kwenye sampuli za mbolea, visaidi vyake pamoja na afya ya udongo ili kuhakikisha ubora na ufanisi wake.