Q: Leseni ya kuuza mbolea hudumu kwa muda gani?
A: Leseni hudumu kwa miaka mitatu (3) kabla ya kuhuishwa.