Q: Inachukua muda gani kupata majibu ya vipimo?
A: Majibu hutolewa ndani ya siku kumi (10) za kazi.