Q: Gharama za kupima sampuli za mbolea ni zipi?
Kipimo Gharama (Tsh)
Kiwango cha Nitrojeni (N-NO3, N-NH4) 110,000
Kiwango cha Foriforasi 110,000
Kiwango cha virutubisho (Na, K, Ca & Mg) 110,000
Kiwango cha mboji 110,000
Kiwango cha uchachu na chumvichumvi 550,000
Biofertilizer na Organic acids 180,000
Madini tembo 750,000